Habari za Punde

*TANROADS YASAINI MKATABA WA UJENZI WA BARABARA YA KYAKA NA KAMPUNI YA CHINA

Meneja Mkuu wa Wakala wa barabara, (TANROADS), Ephraem Mrema (kushoto), mwakilishi Mkuu wa Kampuni ya China Henan International Cooperation Group Limited, Li Yang na Naibu mwakilishi wa Kampuni hiyo, Liu Xiaobo wakisaini Mkataba wa mradi wa kutengeza barabara yenye urefu wa Kilomita 59. 10 kutoka Kyaka mkoani Kagera hadi Bukene. Jumla ya miradi nane yenye Kilomita 525 itakayogharimu Sh Bilioni 593.58 ilisainiwa jijini, Dar es Salaam leo kwa Kampuni tofauti.
Wakibadilishana mkataba huo....wa makubalkiano wakati wa hafla hiyo...


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.