Mratibu wa Pambano la ngumi katika Francis Miyeyusho (kulia) na JumaFundi (kushoto) Khalifa Kipao ‘John Sina’, akiwatambulisha mabondia hao wanaotarajia kuzichapa katika pambano la la Raundi 10 Januari 29 mwaka huu kwenye Ukumbi wa DDC Kariakoo. Utambulisho huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo. Katika pambano hilo la Ubingwa wa Tanzania PST Under 25, pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi kati ya Amosi Mwamakula na Hosseni Mbonde, Kg 60, Hamis Ajali, atakayepambana na Abibu Pengo, uziti wa Kg 60, Abdallah Prinsnaseem, akizichapa na Idd Baba, uzito wa Kg 61.5, Anthony Mathias, atakayezichapa na Baina Mazoro, katika uzito wa Kg 52.5 pamoja na Ajibu Salum, akizipiga na Said Amani, katika uzito wa Kg 55.5
Mabondia hao wakitunishiana misuri wakati wa zoezi la kupima uzito leo.
ZITTO KABWE AONGELEA KUHUSU USIKU WA MATUMAINI 2013
-
* Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Naibu
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe akiongelea kuhusu
Tamasha kubwa la U...
‘SIPENDI KUIONA SOWETO YA TANZANIA'
-
*Na Bryceson Mathias*
WAKATI wananchi wa Afrika Kusini chini Mpigania Uhuru, Nelson Mandela,
walipokuwa wakidai Uhuru wa kujikomboa, ilifikia mahali kule So...
TANGAZO LA SHUKRANI YA MWAL. ADELIA NKWITA
-
* Familia ya Mzee Issa Nakaunda Mangosongo inapenda kutoa shukrani kubwa
kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika msiba wa mama yetu
mpendw...
PAMBANO LA MASUMBWI
-
Kwa mara nyingine limeandaliwa pambano la ngumi la ki aina yake ni kati ya
mabondia wakimya na wapole usoni na wasiopenda kabisa kuongea *Yohana* *
Robert* ...
KAMPUNI YA STEPS YANOGESHA TUZO ZA BONGO MOVIE.
-
Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa
kiume katika tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa
tuzo...
0 idadi ya maoni:
Post a Comment