
Mratibu wa pambano la raundi 10 katika Francis Miyeyusho (kulia) na Juma Fundi (kushoto) akiwatambulisha mabondia hao wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam jana. Mabondia hao wanatarajia kupanda jukwaani Januari 29 mwaka huu kwenye Ukumbi wa DDC Kariakoo likiwa ni pambano la kuwania Ubingwa.
Mabondia hao wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa pambano lao.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment