Habari za Punde

*MAMBO YA KHANGA MOJA YAZIDI KUWATEKA MASHABIKI WA TAARAB DAR

Msanii wa miondoko ya khanga moja kutoka kundi la Mwananyamala Mchangani Dar es Salaam, akiwapagawisha mashabiki wa miondoko hiyo jukwaani wakati wa onyesho hilo lililofanyika kwenye ukubi wa Travertine Magomeni.No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.