Monday, November 19, 2012

*RAIS WA ZANZIBAR AAGANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein, akizungumza na Balozi wa Uganda Nchini  Tanzania, Bw.Ibrahim Mukiibi,alipofika leo kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

0 idadi ya maoni:

Post a Comment