Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA BADO SI JKT WALA SIMBA

Mshambuliaji wa Simba Shizza Kichuya (katikati) akijaribu kumtoka beki wa JKT Ruvu, Rahim Juma, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaoendelea hivi sasakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar esSalaam. Hivi sasa ni kipindi cha pili bado matokeo ni 0-0. Kaa nasi kwa matokeo kamili ya mtanange huu na mechi nyinginezo za leo katika viwanja tofauti.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.