Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANGA WANAONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA AZAM FC

 Donald Ngoma akifunga bao la pili huku kipa wa Azam Fc, Aish Manula, akigaa gaa chini baada ya lkushindwa kupangua shuti la Ngoma katika dakika ya 22. Ngoma pia aliweza kuipatia Yanga bao la kwanza katika dakika 20.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la pili lililofungwa na Ngoma. Hivi sasa ni kipindi cha pili mabao bado ni Yanga 2-Azam 0.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.