Habari za Punde

*MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE MHE MREMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAKAZI WA TANDALE UWANJA WA FISI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
 Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
 Baadhi ya Wanancihi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi akimkaribisha Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Msoma Risala kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
 Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo picha) kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.
Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.