Habari za Punde

*RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA KATIBU MKUU MSAIDIZI NA NAIBU MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA (UNFPA) PIA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERAT MFUMUKEKO IKULU JIJINI DAR

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vitabu alivyopewa na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni  Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia vitabu hivyo.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni  Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga watatu kutoka (kushoto).
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya  mazungumzo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.