Habari za Punde

*STDFAA WAMUOMBA WAZIRI NAPE KUHARAKISHA SERA YA FILAMU

Katibu wa Chama cha Waigizaji cha Mkoa wa Kinondoni (STDFAA) , Jafari Makatu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam juu ya changamoto zinazowakabili katika tasnia ya filamu nchini, kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho, Ali Baucha na kushoto ni Mdhamini wa Chama hicho, Ahmed Olotu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.