Habari za Punde

*ATHUMAN TIPPO AWAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO COASTAL UNION KUELEKEA LIGI DARAJA LA KWANZA

Nahodha wa zamani wa timu Coastal Union ya jijini Tanga, Athuman Tippo (kushoto) akimkabidhi sehemu ya Vifaa vya michezo, Mwenyekiti wa timu hiyo, Steven Mnguto, kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara inayotarajia kuanza hivi karibuni. Makabidhiano ya vifaa hivyo, Jezi Seti mbili, Beeps, Mipira, pamoja na Cones yamefanyika Agost 22, 2016 kwenye Duka la Vifaa vya Michezo la Zizzou Fashion lililopo mitaa ya Sinza Bamaga jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.