Habari za Punde

*TUJIKUMBUSHE NA AJALI YA AJABU ILIYOTOKEA BONDE LA KAWE DAR MWAKA 2010B GARI KUNING'INIA JUU YA MTI
Gari lenye namba za usajiri T 857 BAR, likiwa limening’inia juu ya mti katika daraja la bonde la Kawe lililopo Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam mwaka 2010 jana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali ya gari hilo, kwa mujibu wa walioshuhudia ajali hiyo walieleza kuwa ajali hiyo ilitokea saa tisa usiku.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.