Habari za Punde

*AJALI HAINA KINGA LIMEPIGA CHINI LENYEEEEEEWE

 Gari kubwa aina ya Hino likiwa limepiga mweleka maeneo ya baada ya Same ambapo haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo na majeruhi katika ajali hiyo kutokana na kutokuwapo mtu yeyote katika ajali hiyo hadi inanaswa na kamera ya Mafoto Blog.
Chaliiiiii

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.