Habari za Punde

*HATIMAYE POGBA AANZA KUWAZIBA MIDOMO WANAO MBEZA KWA KUFUNGA BAO 1 KATI YA MANNE DHIDI YA LEICESTER CITY LEO


Kiungo wa Manchester United aliyezua gumzo kuhusu usajili wake wa Pauni Milioni 89, Paul Pogba akipiga kichwa kuifungia timu yake bao la kwanza tangu ajiunge na timu hiyo likiwa ni bao la nne dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mchana wa leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yalifungwa na Chir Smalling dakika ya 22, Juan Mata dakika ya 37 na Marcus Rashford dakika ya 40

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.