Habari za Punde

*HOTELI YA KCC MAILI MOJA YATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU

Moto Mkali ulioanzia kwenye jiko la Hoteli ya KCC Maili Moja umeteketeza hoteli hiyo iliyopo Kibaha mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na zoezi la uzimaji wa moto huo. Katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.