Habari za Punde

*JE WAKUMBUKA KITU HIKI CHA CHIPS DUME KILIVYOTUSUKUMA SKONGA ENZI HIZOO AMA HUJATUMIAGA??????

 Muuza mihogo ya kukaanga akiwahudumia wateja wake wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kitunda kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog. Je wewe unakumbuka kitu hiki cha Chips dume????? na je ulitumia ama veepeeeee.....Hapa ni Mihogo mixer chachandu weweeeeee
 Hapa kila mmoja akijichagulia vipande vikubwa atakavyo....
 Hapa kila mmoja akiwa bize na sahani yake kuwahi kuchagua mihogo...
Ukiwa Skonga msosi huu haunaga 'Ushemeji' kila mmoja anakulaga tu.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.