Habari za Punde

*KENYA YAKABIDHI MSAADA WA MABLANKETI 400 KWA WAATHIRIWA WA TETEMEKO LA ARDHI MKOA WA KAGERA

Balozi wa Kenya nchini Tazania Chirau Ally Mwakwere aliyemuwakilisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salumu Kijuu kutoka Serikali ya Kenya kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Balozi wa Kenya akikabidhi magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwaajili ya wahanga wa tetemeko Kagera. 
Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Picha na Editha Karo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.