Habari za Punde

*KIJANA DANIEL MANOTA ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU

 MSAADA  KWA MGONJWA DANIEL MANOTA
Kijana Daniel Manota anayesumbuliwa na ugonjwa wa Figo tangu Oktoba 2015, mpaka sasa anaomba wasamaria wema kumsaidia pesa za matibabu.
Ndugu, jamaa na marafiki popote duniani mnaombwa kuokoa maisha ya kijana huyu kwa kumchangia pesa za matibabu zinazohitajika kiasi cha sh. Milioni 1 kwa ajili ya kununua dawa za wiki kwa matibabu. 

Kijana Daniel hivi sasa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada kuhamishwa kutoka jijini Mwanza alikokuwa amelazwa.

unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia namba zifuatazo hapa chini.
0659656970. NEEMA URASA
076818874 .DANIEL MANOTA
 Kijana Daniel ni mhitimu wa mafunzo ya Ualimu Ilonga TC mwaka 2015. Mungu awabariki wote kwa moyo wa imani, amen

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.