Habari za Punde

*KUMBE NA BODA BODA NAYO NI KAMA PICK UP??????

 Dereva wa pikipiki akiwa amebeba mzigo mkubwa kuzidi uwezo wa chombo chake kiasi cha kushindwa kukaa vizuri na kukaa juu ya Tanki wakati akiendesha chombo hicho kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog hivi karibuni barabara ya Moshi Arusha.
Hapa akizuia asipigwe picha...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.