Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA CHINA ELECTRONICS CORPORATION

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.