Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS, MHE.SAMIA SULUHU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba. ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.