Habari za Punde

*MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Baadhi ya wabunge wakiingi kwenye Viwanja vya Bunge kuhudhuria Kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.
Baadhi ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Job Ndugai akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Bunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuendesha mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai Akiwaongoza Wabunge wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa bunge wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.