Habari za Punde

*MKOA WA SHINYANGA WATOA ZAIDI YA MILIONI 41KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MKOA KAGERA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim Kijuu (kulia) baadhi ya misaada iliyotolewa na wananchi wa mkoa wa Shinyanga kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim Kijuu akitoa shukrani baada ya kupokea misaada kutoka mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack (kulia) akitoa maelezo kuhusu msaada wa vifaa vya ujenzi na chakula kutoka kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.