Habari za Punde

*MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAKUKURU AKABIDHIWA BANDO LA KUPAMBANA NA RUSHWA

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa, nchini , Bw.Valentino Mlowola (TAKUKURU) (kulia) akipokea Bango la Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Utawala(katikati) , Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa Utumishi, Mahakama ya Tanzania,Bi. Mwajuma Suru.Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa, nchini, Bw. Valentino Mlowola (TAKUKURU) (kulia)akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, (kushoto) Bi .Wanyenda Kutta Mahakama ya Tanzania, kabla ya Makabidhiano hayo kufanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU. Picha na Mahakama ya Tanzania

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.