Habari za Punde

*MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE LYATONGA MREMA AMTEMBELEA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA LEO

 Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Magereza (hawapo pichani) wakati alipomtembelea Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja (kushoto)ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema wakati alipomtembelea ofisini kwake ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja pamoja na baadhi ya maafisa ya hilo wakati Dkt. Mrema alipokwenda kumtembelea ili kujua matatizo mbalimbali yanayoikabili bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini ambaye pia ni Katibu wa bodi ya Parole John Casmir Minja wakati Dkt. Mrema alipomtembelea ofisini kwake mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.