Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, AFANYA ZIARA KUKAGUA MIUNDOMBINU YA DAWASCO

 Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji maji kutoka Dawasco injinia  Aroun Joseph akielezea jambo mbele ya naibu waziri Mh. Luhaga Mpina mara baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa miundo mbinu ya Dawasco
Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akitoa maelekezo kwa Mwanasheria kutoka Baraza la Usimamizi wa Mazingira Nchini NEMC  Manchare Heche jinsi ya kuweza kushughulikia tatizo la utririshaji maji taka.                
Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akisisitiza jambo kwa kaimu mkurugenzi wa Uzalishaji na usambazaji wa maji  Dawasco Injinia Aroun Joseph mara baada kufanya ziara ya kukagua miundo mbinu ya dawasco.      

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.