Habari za Punde

*RAIS MAGUFULI ATEMBELEA KUKAGUA UJENZI WA HOSTELI ZA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA UDSM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akitembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hosteli za Wanafunzi Chuo Kikuu cha UDS leo asubuhi.  
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza.
ukaguzi ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.