Habari za Punde

*SERIKALI YAZIPONGEZA SEKTA BINAFSI KWA KUWEKEZA KATIKA UTALII


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la funguzi wa hotel ya Ramada Encore yenye hadhi ya nyota 5 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli hiyo Bw. Abdul Ismail.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa hoteli ya Ramada Encore iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli Ramada Encore Bw. Abdul Ismail wakati wa halfa fupi wa uzinduzi wa Hotel ya Ramada Encore jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua hoteli ya nyota 5 ya Ramada Encore katikati ya jiji la Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Butiama Mhe. Nimrod Mkono (kushoto) walipokutana katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hoteli ya RAMADA encore leo Jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akielezea jambo wakati alipotembelea chumba cha mazoezi kilichopo katika Hoteli ya RAMADA encore alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msaidi wa Msimamizi Msaidizi wa Mapokezi katika hoteli hiyo Bi. Janeth Leornard.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Uongozi wa Hoteli ya RAMADA encore wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Picha na: Frank Shija, MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.