Habari za Punde

*UFUNGUZI WA WARSHA YA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA NA MAFUNDI MCHUNDO

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga akimkaribisha mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu  iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Idara ya Mazingira. 
  Kaimu wa Mkurugenzi Idara ya Mazingira,  Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akifungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu juu ya ukusanyaji takwimu za matumizi ya kemikali mbadala wa kemikali. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Mgeni Rasmi katika warsha hiyo Kaimu wa Mkurugenzi Idara ya Mazingira,  Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akiwa katika picha ya pamoja na Wahudhuriaji wa warsha ya wakufunzi wa vyuo va VETA na mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu juu ya ukusanyaji takwimu za matumizi ya kemikali mbadala zinazomong'onyoa tabaka la ozoni Nchini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.