Habari za Punde

*WAKAZI WA JIJINI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHEKI AFYA ZAO BURE LEO.

WANANCHI na wakazi wa jijini la Dar es Salaam wajitokeza katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Saala kupima afya zao ambapo madaktari wa hospitali mbalimbali za jijini la Dar es Salaam watakuwepo katika viwanja hivyo kwaajili ya kupima afya za wananchi wa jijini la Dar es Salaam bila malipo yoyote.
Umati wa wananchi waliojitokeza kupima afya zao mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makondo kuomba wananchi kwenda katika viwanja vya Mnazimmoja kucheki afya leo na kesho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.