Habari za Punde

*WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI, MAFIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akiwa ameshika moja ya samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mafia Septemba 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mafia, Mkoani Pwani. Septemba 24, 2016. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.