Habari za Punde

*WAZIRINAPE, SELCOM WATAMBULISHA KADI ZA KIELETRONIKI KWA WAANDISHI W HABARI

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari za Michezo Jijini Dar es Salaam alipokutana nao leo Jijini Dar es Salaam wakati wa semina maalum  iliyoandaliwa na Kampuni ya Selcom kujadili kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Miradi kutoka kampuni ya Selcom Bw. Galus Runyet akitoa maelezo kwa waandishi wa habari za Michezo kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Miradi kutoka kampuni ya Selcome Bw. Galus Runyet akitoa maelezo kwa waandishi wa habari za Michezo kuhusu jinsi ya kutumia kadi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari za Michezo wakimsililiza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa semina maalum iliyoandaliwa na Kampuni ya Selcom kujadili kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Picha  Zote na Raymond Mushumbusi WHUMS

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.