Habari za Punde

AZAM FC,YANGA SC WAGAWANA POINTI UWANJA WA UHURU DAR 0-0, MAJI MAJI YAIBUKIA MWANZA

Timu ya Yanga leo imetoka sare ya 0-0 na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Azam walikuwa wenyeji katika mzunguko wa kwanza wa Ligi ambapo timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu huku timu zote zikicheza kwa presha.

MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA LEO:
AZAM FC 0 - YANGA  0 
RUVU SHOOTING 1- MBEYA CITY 0
TOTO AFRICAN 1 MAJIMAJI 2

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.