Habari za Punde

*BEKI WA KULIA WA YANGA HASSAN KESSY RUKSA KUKIPIGA YANGA: TFF

Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar
Shirikisho la soka nchini TFF limeweka wazi kuwa beki wa kulia wa Yanga Hassan Kessy, aliyekuwa na mgogori na klabu yake ya zamani Simba,  ruksa kucheza katika ligi kuu ya vodacom kutokana na kanuni za ligi hiyo kwa kuwa suala la mchezaji huyo ni madai.

Afred amesema kuwa swala mchezaji huyo aliwezi kumzuia mchezaji huyo kucheza kwakuwa tayari swala hilo lipo katika hatua ya usuluhushu .

"Lakini ikitokea usuluhishi alijafikiwa maamuzi hivyo kamati itachukua maamuzi kwa mujibu wa kanuni zinavyoeleza na majibu nitakuja kuwapatia"amesema Lucas.

Amesema kuwa Simba katika mkataba wake waliweka kipengele cha kulipa zaidi ya dola 600 kama faini hivyo tunasubiri maamuzi hayo hivyo kesi anapaswa kucheza mpaka hapo kamati itakapo toa maamuzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.