Habari za Punde

DYANA EDWARD NDIYE MISS TANZANIA 2016

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wananchi wa Jiji la Mwanza mara baada ya kutangazwa Mshiindi wa Miss Tanzania 2016 Jijini Mwanza Leo wakati wa Kuhitishimisha hindano la Miss Tanzania 2016. 
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward katikati akiwa na mshindi wa pili na watatu Grace Malikita na Maria Peter mara baada ya Msindi wa shindano la Miss Tanzania 2016 kutangazwa Mshindi jijini Mwanza leo.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi watano wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza leo.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward kushoto akiwa na wenzake wakati wa Kunesha Vazi la ubunifu wakati wa kusaka mshindi wa Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza leo.
Picha na Avilla Kiango,Mwanza

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.