Habari za Punde

HAPPY BIRTHATDAY RAIS WETU DKT .JOHN MAGUFULI

WATANZANIA POPOTE TULIPO TUNAKUTAKIA KILA LA HERI RAIS WETU DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SIKU YAKO YA KUZALIWA
Leo  29 Oktoba ndio siku ya Kuzaliwa Rais wetu Dkt.John Pombe Joseph Magufuli,inawezekana mheshimiwa rais wetu labda siku hii anaichukulia ya kawaida tu au ya kifamilia tu,kwa muheshimiwa si mtu wa kupenda penda ufahari lakini pamoja na hayo sisi watanzania ni lazima tumtakie na kumuombea kila la heri,afya njema rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli

katika siku ya kuzaliwa ,Happy Birthday Mr.President

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.