Habari za Punde

KLABU YA ZESCO UNITED KUMSHITAKI KOCHA WAKE GEORGE LUANDAMINA 'KUWAKACHA' NA KUTUA DA KUFANYA MAZUNGUMZONA YANGA KINYEMELA


Klabu ya Zesco United ya Nchini Zambia inatarajia kumshitaki Kocha wake 
Lwandamina, aliyeondoka kinyemela nchini humo kwa ruksa ya kuuguliwa na kutua jijini Dar kwa mazungumzo na 
Klabu ya Yanga bilaUongozi wa timu yake hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo kushirishwa hali ya kuwa akiwa bado ndani ya Mkataba na timu hiyo.

Aidha Uongozi huoumeshangazwa na kushikwa na butwaa baada ya kuona habari katika vyombo mbalimbali vya habari na Mitandao ya Kijamii nchini kuwa Kocha huyo ametua nchini kufanya mazungumzo na Yanga wakati wao wakijua kuwa Kocha huyo amesafiri kuelekea kwa dharula ya kuuguliwa.
****************************************
*To∶ ALL MEDIA HOUSES
*From ∶ ZESCO UNITED FOOTBALL CLUB*
*25th October 25, 2016*


*RE∶ GEORGE LWANDAMINA*
Zesco United would like to acknowledge receiving Media reports suggesting that head Coach, George Lwandamina is in Tanzania having talks and at the verge of signing a two year contract with Young Africans Sporting Club.
Lwandamina has a three year running contract that expires in January 2017 and the club has not entered into negotiations to have the contract extended and Lwandamina has not communicated his intentions at the end of the contract.
As far as the Club is concerned, Lwandamina is in Monze attending a family bereavement as he stated on Sunday when he sought permission to leave from the Team Manager, Mr Mabvuto Banda and is expected to return to camp today for the midweek rescheduled game against Nkwazi FC in Lusaka tomorrow.
Zesco United would like to state that if indeed these media reports are true, Lwandamina will be in breach of his contract with the club, we believe he is a professional and is expected to behave as such.
We believe that he is aware of his contractual obligations and implications of a possible breach. 


Issued by 
Richard Mulenga (Mr) and Katebe Chengo (Ms) 
Acting General Secretary and Media Officer

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.