Habari za Punde

MAMIA WAJISEVIA NYAMA YA SAMAKI ALIYEKUTWA AMEKUFA UFUKWENI KILWA MASOKO

Baadhi ya wakazi wa Kilwa Masoko wakikata nyama ya samaki mkubwa mwenye urefu wa Futi 30 aliyekutwa amekufa pembezoni mwa Bahari ya Hindi Ufukwe wa Kilwa Masoko leo. Haikuweza kufahamika samaki huyo alikotokea huku wengi wakieleza kuwa ni kutokana na umri mkuwa wa samaki huyo aliyekufa na kusogezwa ufukweni na mawimbi ya bahari.
Baadhi ya Wananchi wakiwa juu ya mgongo wa huyo samaki mkubwa ambaye mpaka sasa hakufahamika jina lake mara moja
Sehemu ya mwili wa samaki huyo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.