Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA TUKIO LA MTANANGE WA YANGA v/s SIMBA MWISHONI MWA WIKI

 Askari Polisi wakiwacharaza virungu mashabiki waliokuwa katika foleni ya kuingia Uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Mashabiki wa Soka wakiwa wamebanana katika foleni ya kuingia katika mashine ya kupanchi ili kuingia Uwanjani.
 Msongamano wa kuingia uwanjani
 Mashabiki wakiwa katika msongamano mkubwa nje ya uwanja 
 Hapa ni baada ya mabomu....KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE

 Mashabiki wa Simba wakiingia kwa mbwembwe uwanjani.....
 Mbwembwe za kuingia uwanjani.....
 Baada ya kupigwa virungu wakinyoosha mkino juu kujisalimisha...
 Askari wakimsaidia mzee aliyezimia baada ya tukio la kufyatua mabomu uwanjani hapo geti lilipovunjwa.
 Jamaa akiwa amepasuliwa kichwa baada ya kupiga kirungu....
 Jamaa akiwa ameumia mguuni
 Askari wakishikilia geti baada ya kuvunjwa na mashabiki
 Foleni ya kuingia uwanjani

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.