Habari za Punde

MRADI MKUBWA WA UJENZI WA HOTELI YA KITALII KIJIJI CHA MATEMWE ZANZIBAR

Sehemu ya mbele ya majengo ya mradi huo kuingia katika eneo la hoteli hiyo.
Jinsi ya mradi huo utakapokamilika ujenzi wake utakuwa kama hivi na kubadilisha mandhari ya eneo la matemwe mkoa wa kaskazini unguja.
Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, Brain Thomson, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliofika kutembelea mradi huo kujionea maendeleo ya matayarisho yake na kuwaonesha michoro ya picha za majengo ya Mradi huo mkubwa utakaokuwa na uwanja wa ndege. na kutengeneza visiwa kwa ajili ya wageni wanaofika katika Visiwa vya Zanzibar. 
Mmiliki wa Mradi wa Mkubwa wa Hoteli ya Kitalii katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja Mr. Brian Thomson, akitowa maelezo ya mradi huo kwa kuwaonesha jinsi ya majengo yatakavyokuwa katika eneo hilo na kutoa ajira kwa Wananchi wa Matemwe na vijiji jirani kupitia mradi huo. 
Mmiliki wa Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Hoteli katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja Mr. Brian Thomson akizungumza na waandishi wa habari

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.