Habari za Punde

MSHINDI WA JIONGEZE NA M-PAWA AKABIDHIWA KITITA CHAKE.

 
Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo mkoani humo Jumeo Khamis.
Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.