Habari za Punde

MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU MKOANI DODOMA JIONI YA LEO

Wananchi wakishuhudia ajali ya gari ndogo aina ya Noah na Maroli mawili iliyotokea leo jioni eneo la Emaus, Mkoani Dodoma, imeelezwa kuwa katika ajali hiyo Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika kwa haraka.
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.