Habari za Punde

MTUHUMIWA ATOKA NDUKI NA PINGU BAADA YA KUFIKISHWA MAHAKANI, ADHIBITIWA NA ASKARI KANZU

Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.
Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pingu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.
Abiria waliokuwa katika daladala wakishangaa tukio hilo.
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu.
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu.
Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu. PICHA NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.