Habari za Punde

NEWZ ALERT: TAARIFA HII IPUUZWE, SIO YA KWELI

Kuna taarifa inasambazwa katika mitandano mbalimbali ya kijamii leo hii ikidaiwa imetolewa na kitengo cha Mawasiliano,IKULU, kama inavyoeleza hapo juu,si ya ukweli,mnaombwa muipuuze,ni taarifa iliotengenezwa na baadhi ya watu wenye nia ovu ya kupotosha ukweli,hivyo mnaombwa kuipuunza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.