Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WILSON MASILINGI NA PHILIP MARMO PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU GENERALI GEORGE WAITARA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa  Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akiagana na  Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara baada ya kukutana  naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli kuhusiana na sherehe za kuzima mwenge mkoani Simiyu. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.