Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA FOOD PRODUCTS LTD. MKURANGA, MKOANI PWANI LEO

Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhresa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa Watendaji wa Bakhresa Group Bw. Aziz Salim 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Allyakitoa muhtasali wa shughuli wakati wa ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Bw. Abubakar Bakhresa akisoma risala kwenye shere hizo
Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo

Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo

Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa Group
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd. 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam MediaRais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.