Habari za Punde

SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AZUNGUMZA NA WAANDISHI.

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Fred Kidega katikati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano wa kuzungumzia masuala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Makongoro Nyerere na wamwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Patricia Hajabakiga.
Mwandishi mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano na Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar. Picha na Yussuf Simai, Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.