Habari za Punde

TABU YA MAJI HUKU KWETU WANAOCHOTA MAJI NI WATOTO TU!!!!!!


Baadhi ya Watoto wakiwa katika foleni ya kuchota maji eneo la Headaru kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog hivi karibuni. Imeelezwa kuwa eneo hilo lina shida ya maji ambapo asilimia kubwa ya wakazi wa maeneo hayo hutumia maji ya kununua kwa kila dumu Sh. 300.
 Hawa wao wakishirikiana kukokota toroli lao kuelekea nyumbani
Vijana wakisubiri foleni ya kujaza maji katika madumu yao

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.