Habari za Punde

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA ULAYA KUDHIBITI UHALIFU BAHARINI

 Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji ,Rene  Luyckx, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), wakati ujumbe huo  ukiongozwa na Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia),ulipotembelea wizara hiyo kujadili ushirikano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri,jijini  Dar es Salaam.
 Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR (kulia), wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini. Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.