Habari za Punde

TUMEPUMZIKA KIDOGO, TUKIGEUKA BARABARANIIIIII

Askari wa Usalama Barabarani wakiwa wamepumzika baada ya kazi ngumu na jua kali, kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog hivi karibuni. Askari wa Mjini hujengewa vibanda vya kupumzikia ambavyo huwasaidia kujikinga na jua na hata mvua lakini hawa wenzetu wa huku kwetu mikoani hivi ni kwanini hawakumbukwi, hapa mvua ikinyesha jamaa hawa itabidi waondoke eneo la kazi. Mie napita tuuuuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.